Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema zaidi ya nchi 10 zimekuja Tanzania kujifunza namna ya kujenga Mji wa Serikali kw…

Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema zaidi ya nchi 10 zimekuja Tanzania kujifunza namna ya kujenga Mji wa Serikali kw…

Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema zaidi ya nchi 10 zimekuja Tanzania kujifunza namna ya kujenga Mji wa Serikali kwa kutazama ujenzi wa mji wa Mtumba, Dodoma wenye majengo 34 na barabara za lami zenye urefu wa kilomita 59.1, huku wakitarajia kuongeza nyingine kuelekea Ikulu.

#Azamnewsupdates
✍ Warda John
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *