Katika kuipunguzia Serikali mzigo wa madeni, Rais Samia Suluhu Hassan ameyataka mashirika ya umma na taasisi kutoendelea kutumia…

Katika kuipunguzia Serikali mzigo wa madeni, Rais Samia Suluhu Hassan ameyataka mashirika ya umma na taasisi kutoendelea kutumia…

Katika kuipunguzia Serikali mzigo wa madeni, Rais Samia Suluhu Hassan ameyataka mashirika ya umma na taasisi kutoendelea kutumia mgongo wa Serikali kukopa; badala yake, yaombe mikopo na kujiendesha kwa kutumia uwezo wao wa kifedha.

#AzamTVUpdates
✍Juliana James
Mhariri John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *