Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mwaka mmoja tangu maandamano makubwa ya kupinga kodi na ufisadi nchini Kenya, maarufu kama maandamano ya Gen Z, vijana wa taifa hilo bado hawajakata tamaa licha ya matukio ya ukandamizaji wa polisi / Mwanaharakati maarufu raia wa Sweden, Greta Thunberg amefurushwa kutoka nchini Israel