Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Waandamanaji wanaopinga kukamatwa kwa wahamiaji wamekusanyika Los Angeles kwa siku ya nne mfululizo / Rais wa Kenya, William Ruto, ametangaza mpango wa kitaifa maarufu kama National Youth Opportunities Towards Advancement (NYOTA), ukiwa na lengo la kutoa ajira kwa vijana 800,000.
#BajetiKuu2025 Rais @samia_suluhu_hassan ni miongoni mwa Watanzania wengi wanaofuatilia hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2025/2026 mbashara kupitia…