Rais Samia Suluhu Hassan amesema ameanza kuona mabadiliko chanya ndani ya Jeshi la Polisi, ambapo nidhamu, maadili, weledi na utu vimeongezeka kwa kiasi kikubwa kuliko siku za nyuma.
Amempongeza Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi, Lazaro Mambosasa, pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, kwa kuleta mabadiliko hayo.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi