Farasi leo ametembelea soko la Tandika kujionea maboresho yanayoendelea katika soko hilo, ambapo wafanyabiashara na wateja wameipongeza serikali kwa kuchukua hatua stahiki za kutatua changamoto zilizokuwepo sokoni hapo.
#AzamTVUpdates
✍Alpha Jenipher
Mhariri|John Mbalamwezi