#HABARI: Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje, mkoani Songwe, umevifunga makufuli vibanda zaidi ya 300 kuzunguka Soko la Itumba na Vituo vya Mabasi vya Isongole na Itumba, ili kushinikiza wafanyabiashara wanaovitumia kusaini mkataba mpya wenye lengo la kuongeza kodi ya pango la vibanda hivyo.
Related Posts
🔴Habari za Saa, Saa Tano na Dakika 55…..Julai 29, 2024
🔴Habari za Saa, Saa Tano na Dakika 55…..Julai 29, 2024 Post Views: 28
🔴Habari za Saa, Saa Tano na Dakika 55…..Julai 29, 2024 Post Views: 28

Ukraine kupata msaada ‘Muhimu’ wa Marekani mwishoni mwa Septemba
Mshauri wa Usalama wa Kitaifa wa Marekani Jake Sullivan alizungumza kwa njia ya video kwenye mkutano wa Mkakati wa Ulaya…
Mshauri wa Usalama wa Kitaifa wa Marekani Jake Sullivan alizungumza kwa njia ya video kwenye mkutano wa Mkakati wa Ulaya…
Rwanda yadhibiti idadi ya wanaohudhuria mazishi baada ya mlipuko wa virusi vya Marburg
Serikali ya Rwanda imetangaza kuwa, inatekeleza mpango wa kudhibiti idadi ya watu wanaohudhuria mazishi ya waathiriwa wa virusi vya Marburg…
Serikali ya Rwanda imetangaza kuwa, inatekeleza mpango wa kudhibiti idadi ya watu wanaohudhuria mazishi ya waathiriwa wa virusi vya Marburg…