#HABARI: Wananchi laki moja na elfu kumi na sita katika Kata za Nkende, Nyamisangura na Binagi, zilizopo Wilaya ya Tarime, mkoani Mara, wameondokana na vifo vinavyotokana na kusombwa na maji na wanafunzi kushindwa kwenda shule ,kutokana na mto kufurika maji nyakati za mvua, baada ya serikali kuwajengea madaraja mawili ya Kinyambi na Kibweye, yenye thamani ya zaidi shilingi bilioni 1.6.
Related Posts
🔴Taarifa ya Habari ya Asubuhi, 27..Julai, 2024
🔴Taarifa ya Habari ya Asubuhi, 27..Julai, 2024 Post Views: 50
🔴Taarifa ya Habari ya Asubuhi, 27..Julai, 2024 Post Views: 50
#HABARI: Mfanyakazi wa Kampuni ya Mabasi ya Hajees, aliefahamika kwa jina la Bi
#HABARI: Mfanyakazi wa Kampuni ya Mabasi ya Hajees, aliefahamika kwa jina la Bi. Emmy Lukas, amefariki dunia papo hapo baada…
#HABARI: Mfanyakazi wa Kampuni ya Mabasi ya Hajees, aliefahamika kwa jina la Bi. Emmy Lukas, amefariki dunia papo hapo baada…
#HABARI: Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Mhe
#HABARI: Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amesema Serikali itaendelea kujenga shule kubwa na za…
#HABARI: Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amesema Serikali itaendelea kujenga shule kubwa na za…