#HABARI: Askari mmoja wa Jeshi la Akiba, wilayani Mbozi, mkoani Songwe, aliyejulikana kwa jina la Samweli Kaminyoge, aliyekuwa ameongozana na Maafisa wa Maliasili kumsaka simba aliyedaiwa kuvamia makazi ya watu na kuuwa mifugo mbalimbali ikiwemo ng’ombe na mbuzi katika Kata ya Magamba, iliyopo wilayani humo, amenusurika kuuwa na Simba huyo baada ya kumvamiwa na kumjeruhiwa maeneo mbalimbali ya mwili.
Related Posts
Uingereza inataka kuboresha uhusiano wake na Umoja wa Ulaya
Keir Starmer Waziri Mkuu wa Uingereza amefanya safari katika miji ya Berlin na Paris kwa lengo la kuboresha uhusiano na…
Keir Starmer Waziri Mkuu wa Uingereza amefanya safari katika miji ya Berlin na Paris kwa lengo la kuboresha uhusiano na…
🔴Habari za Saa, Saa Tano na Dakika 55…..Agosti 02, 2024
🔴Habari za Saa, Saa Tano na Dakika 55…..Agosti 02, 2024 Post Views: 25
🔴Habari za Saa, Saa Tano na Dakika 55…..Agosti 02, 2024 Post Views: 25
“Nilipata Mtetemeko kidogo wa Sukari ziliponyesha mvua nyingi, viwanda havikuweza kuzalisha, lakini sukari kwenye baadhi ya maen…
“Nilipata Mtetemeko kidogo wa Sukari ziliponyesha mvua nyingi, viwanda havikuweza kuzalisha, lakini sukari kwenye baadhi ya maeneo zilikuwepo kwenye baadhi…
“Nilipata Mtetemeko kidogo wa Sukari ziliponyesha mvua nyingi, viwanda havikuweza kuzalisha, lakini sukari kwenye baadhi ya maeneo zilikuwepo kwenye baadhi…