Hofu inavyoongeza huku mataifa makubwa yakigombania udhibiti wa kipande cha Ncha ya dunia

Hofu inavyoongeza huku mataifa makubwa yakigombania udhibiti wa  kipande cha Ncha ya dunia

Huenda China isiingie akilini unapofikiria kuhusu Aktiki – lakini imedhamiria kuwa mdhibiti mkubwa wa Ncha ya dunia. Imekuwa ikigombea kununua mali isiyohamishika, kushiriki katika miradi ya miundombinu na inatarajia kuanzisha uwepo wa kudumu wa kikanda, huku ikiyakuta mataifa ya Magharibi yenye ngome zao za muda mrefu huko.

​  BBC News Swahili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *