Houthi aonya juu ya kutokea janga kubwa zaidi ikiwa Waislamu watashindwa kuizuia Israel

Houthi aonya juu ya kutokea janga kubwa zaidi ikiwa Waislamu watashindwa kuizuia Israel

Kiongozi wa Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen ameyasuta mataifa ya Kiislamu kwa kukaa kimya na kutochukua hatua za kukabiliana na ukatili wa Israel kwenye Ukanda wa Ghaza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *