Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amesisitiza kuwa, jukumu la msingi la wizara hiyo ni kujitahidi kuondosha vikwazo na kuongeza kuwa, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje anayesimamia Diplomasia ya Kiuchumi na balozi za Iran nje ya nchi zinapaswa kuwezesha mchakato huo na kuondolewa vikwazo vyote dhidi ya taifa hili.
Related Posts

Michakato ya uteuzi wagombea katika vyama isiuponze uchaguzi
Dar es Salaam. Katika anga ya siasa nchini, uchaguzi wa serikali za mitaa umebaki kuwa alama ya demokrasia ya karibu,…
Dar es Salaam. Katika anga ya siasa nchini, uchaguzi wa serikali za mitaa umebaki kuwa alama ya demokrasia ya karibu,…

Mzumbe kumtunuku Rais Samia udaktari wa heshima
Leo Jumapili, Novemba 2 4, 2024 ni mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu cha Mzumbe, Mkoa wa Morogoro. Katika mahafali…
Leo Jumapili, Novemba 2 4, 2024 ni mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu cha Mzumbe, Mkoa wa Morogoro. Katika mahafali…
Kikongwe wa miaka 91 asimulia machungu kufiwa na mumewe wa miaka 102
Sengerema. Kikongwe Chem Mayala (91), mkazi wa Kijiji cha Nyamazugo wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza amesimulia machungu aliyopata kwa kufiwa…
Sengerema. Kikongwe Chem Mayala (91), mkazi wa Kijiji cha Nyamazugo wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza amesimulia machungu aliyopata kwa kufiwa…