Bunge la Seneti DRC laondoa kinga ya kutoshtakiwa ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Joseph Kabila

Bunge la Seneti la DRC limeondoa kinga ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Joseph Kabila, na kumtengenezea njia ya kufunguliwa mashitaka.

​  BBC News Swahili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *