Afisa wa Kizayuni: Israel inaua watoto wachanga kwa ajili ya burudani

Afisa wa Kizayuni: Israel inaua watoto wachanga kwa ajili ya burudani

Mkuu wa Chama cha Democrats cha Israel amekosoa jinai za kivita za utawala wa Kizayuni na kusema: “Israel inaua watoto wachanga kwa ajili ya kujifurahisha, na mwenendo huu unaonyesha kutengwa na kukataliwa kwa utawala huo kimataifa.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *