Wabunge wa Iran walaani hatua ya Bunge la UK kuitambua IRGC kuwa ‘kundi la kigaidi’

Wabunge wa Iran walaani hatua ya Bunge la UK kuitambua IRGC kuwa ‘kundi la kigaidi’

Wabunge wa Iran wamelaani vikali hatua ya wabunge wa Bunge la Uingereza ya kuliorodhesha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kuwa shirika la kigaidi, wakiapa kuchukua hatua za kisheria za kujibu mapigo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *