Tetesi za Soka Ulaya Jumatano: Newcastle yajiunga na mbio za kumsajili Delap

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano: Newcastle yajiunga na mbio za kumsajili Delap

Newcastle kufanya mazungumzo na Liam Delap lakini Manchester United inaongoza mbio za kumsajili mshambuliaji huyo wa Ipswich, Manchester City kumenyana na Liverpool kumsajili beki wa Bournemouth Milos Kerkez.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *