“Msingi wa uhusiano wa Russia, Afrika ni mshikamano wa zama za Sovieti”

“Msingi wa uhusiano wa Russia, Afrika ni mshikamano wa zama za Sovieti”

Russia imesema serikali nyingi za Kiafrika zimedumisha msimamo huru, uliojikita katika kutoingilia kati masuala ya nchi nyingine, kuheshimu mamlaka ya kujitawala na uhuru wa kitaifa, na zimekataa kupasisha vikwazo dhidi ya Russia licha ya mashinikizo makubwa kutoka kwa nchi za Magharibi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *