Mkuu wa Vyuo vya Kiislamu vya Iran amuandikia barua Papa Leo, atoa wito wa ushirikiano

Mkuu wa Vyuo vya Kiislamu vya Iran amuandikia barua Papa Leo, atoa wito wa ushirikiano

Mwanazuoni mwandamizi wa Kiislamu wa Iran ametuma salamu za pongezi kwa mkuu mpya wa Kanisa Katoliki, akihimiza mazungumzo yenye tija na ushirikiano baina ya dini, huku akimuenzi Papa Francis aliyeaga dunia hivi karibuni.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *