Jinai za utawala wa Kizayuni ni kubwa mno na hazivumiliki kiasi kwamba hata viongozi wa Uingereza, Canada na Ufaransa wametishia kuiwekea vikwazo Israel kutokana na uhalifu wa kivita na jinai za kutisha huko Ghaza. Tishio hilo limezidisha mashinikizo kwa nduli wa Ghaza, yaani waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu.
Related Posts

Putin atoa maoni yake kuhusu jaribio la uvamizi la Mkoa wa Kursk
Putin atoa maoni yake kuhusu jaribio la uvamizi la Mkoa wa KurskKiev imekuwa ikiwashambulia raia kiholela, rais wa Urusi amesema…

Baada ya Trump kulegeza msimamo, sasa China yamwekea masharti
China imeiwekea Washington masharti ya mazungumzo baada ya vita vya biashara na ushuru vilivyoanzishwa na Donald Trump kushindwa kuwa na…

Kukiri kufeli operesheni ya kijeshi ya Marekani nchini Yemen
Wiki kadhaa zimepita tangu Marekani ilipoanzisha operesheni kubwa na tata za kijeshi dhidi ya Yemen, huku kukiwa na mashambulizi ya…