Sababu ya Iran kutolegeza msimamo kuhusu haki yake ya kurutubisha madini ya urani

Ikiwa ni katika kujibu matamshi ya Steve Whitkoff, mkuu wa timu ya mazungumzo ya Marekani, Seyyed Abbas Araghchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa: “Kufikiwa makubaliano kunawezekana na tuko tayari kuingia katika mazungumzo mazito. Kwa vyovyote vile, urutubishaji nchini Iran utaendelea tu, makubaliano yafikiwe au la.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *