Urusi, Ukraine ‘kuanza mara moja’ mazungumzo ya kusitisha mapigano, asema Trump

Rais wa Marekani Donald Trump amesema Urusi na Ukraine zitaanza mazungumzo “mara moja” kuelekea kusitisha mapigano na kumaliza vita, baada ya mazungumzo ya simu ya saa mbili na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin.

​  BBC News Swahili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *