Philippe Lazaarini Mkuu wa Shirika la Misaada ya Kibinadamu la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya Wakimbizi wa Palestina (UNRWA) ametahadharisha kuhusu hali mbaya ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza na kusisitiza kuwa kuzingirwa eneo hilo na utawala wa Kizayuni kunakwamisha misaada ya kibinadamu kuingia katika hilo; kwa hiyo wakazi wa eneo hilo wapo kwenye ukingo wa njaa.
Related Posts
Uwanja wa Ndege wa Port Sudan kutoka Lango la Matumaini hadi Uwanja wa Vita. Je, jitihada za kutoa msaada zitaendelea?
Sauti ya ving’ora inasikika kutoka mbali. Moshi mweusi unatanda angani kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Port Sudan. Umati…
Sauti ya ving’ora inasikika kutoka mbali. Moshi mweusi unatanda angani kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Port Sudan. Umati…
Ukraine inaweka mizinga ya Magharibi mbali na mbele kutokana na hatari kubwa ya kuipoteza – gazeti
Ukraine inaweka mizinga ya Magharibi mbali na mbele kutokana na hatari kubwa ya kuipoteza – gazetiImeelezwa pia kwamba mizinga ya…
Ukraine inaweka mizinga ya Magharibi mbali na mbele kutokana na hatari kubwa ya kuipoteza – gazetiImeelezwa pia kwamba mizinga ya…
Hasara za Kiev: hali katika Mkoa wa Kursk
Hasara za Kiev: hali katika Mkoa wa KurskWanajeshi wa Urusi walichukua vitengo na vifaa vya Kiukreni katika maeneo ya Loknya,…
Hasara za Kiev: hali katika Mkoa wa KurskWanajeshi wa Urusi walichukua vitengo na vifaa vya Kiukreni katika maeneo ya Loknya,…