Ukitajwa na baadhi kama siri ya ngozi inayong’aa, kupunguza uzito kwa urahisi, na afya bora ya utumbo, mwani wa baharini au mwani wa miiba, unaofahamika kwa lugha ya kiingereza kama Sea Moss unaoliwa umekuwa maarufu miongoni mwa watu mashuhuri pamoja na watumiaji wa TikTokers.
BBC News Swahili