Ansarullah: Israel haielewi lugha nyingine isipokuwa ya makombora

Kwa mara nyingine tena Harakati ya Muqawama ya Ansarullah imevurumisha kombora la balestiki kutoka Yemen na kupelekea sauti za ving’ora kuhanikiza katika maeneo mengi katika ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu ikiwemo miji mikubwa, mbali na kuibua miripuko kadhaa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *