Afisa mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas amesema kuwa, mjumbe maalumu wa Marekani Steve Witkoff alilihakikishia kundi hilo la Muqawama la Palestina kwamba, Washington itaishinikiza Israel kukomesha mzingiro wa Gaza na kuruhusu ufikishaji wa misaada ya kibinadamu ndani ya siku mbili baada ya kumwachilia huru mwanajeshi wa Israel, Edan Alexander, raia wa Marekani.
Related Posts
Trump atafakari pendekezo la mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Iran
Ikulu ya Marekani White House inatathmini pendekezo la kufanya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Iran; na wakati huo…
Ikulu ya Marekani White House inatathmini pendekezo la kufanya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Iran; na wakati huo…
Israel yaendelea kupata pigo, mashirika makubwa ya ndege yagoma kwenda Tel Aviv
Mashambulizi ya Jeshi la Yemen dhidi ya uwanja wa ndege wa Ben Gurion huko Tel Aviv yanaendelea kuutia hasara kubwa…
Mashambulizi ya Jeshi la Yemen dhidi ya uwanja wa ndege wa Ben Gurion huko Tel Aviv yanaendelea kuutia hasara kubwa…
Makombora ya Salvos ya Hezbollah yalirushwa katika maeneo ya Israel baada ya mashambulizi ya ‘katili’
Makombora ya Salvos ya Hezbollah yalirushwa katika maeneo ya Israel baada ya mashambulizi ya ‘katili’ Vikosi vya Hizbullah vimerusha makombora…
Makombora ya Salvos ya Hezbollah yalirushwa katika maeneo ya Israel baada ya mashambulizi ya ‘katili’ Vikosi vya Hizbullah vimerusha makombora…