Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akipanda mti katika Jengo jipya la Makao Makuu ya Kamisheni ya Bonde la Ziwa Victoria lilopo Kisumu Kenya ambako ameshiriki Kikao cha kujadili taarifa iliyoandaliwa na Makatibu Wakuu kuhusu Mkutano wa 23 wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Kamisheni ya Bonde Ziwa Viktoria, Mei 16, 2025.
Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme akinwagilia alioupanda mti katika Jengo jipya la Makao Makuu ya Kamisheni ya Bonde la Ziwa Victoria lilopo Kisumu Kenya ambako ameshiriki Kikao cha kujadili taarifa iliyoandaliwa na Makatibu Wakuu kuhusu Mkutano wa 23 wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Kamisheni ya Bonde Ziwa Viktoria, Mei 16, 2025.
Mawaziri wa Kisekta,Makatibu Wakuu pamoja Na Sekretariet ya Kamisheni ya Bondela Ziwa Victoria Wakiwa katika Picha ya Pamoja mara Baada ya kumalizika kwa Mkutano wa 23 wa Baraza la Kisekta la Kamisheni ya Bonde la Ziwa Victoria Mei 16. 2025 Kisumu Kenya.
The post NAIBU WAZIRI KHAMIS ASHIRIKI MKUTANO BONDE LA ZIWA VICTORIA appeared first on Mzalendo.