Watu tisa wauawa katika shambulizi la ndege zisizo na rubani la Urusi nchini Ukraine

Watu tisa wameuawa katika shambulizi la ndege zisizo na rubani za Urusi dhidi ya basi la abiria kaskazini-mashariki mwa Ukraine, maafisa wa eneo hilo wamesema.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *