Liverpool wanapambana na vigogo wa Hispania kumsajili Adam Wharton, lakini wanaweza kumpoteza Harvey Elliott kwa Wolves, huku mawakala wa mshambuliaji wa Real Madrid, Rodrygo, wakiwa tayari wamefanya mazungumzo na klabu tatu za Ligi Kuu ya England
BBC News Swahili