Abu Turabi Fard: Marekani ndiyo sababu ya ukosefu wa usalama duniani, si Iran

Imam wa muda wa Sala ya Ijumaa ya hapa Tehran amesema: “Katika hali ambayo Israel inafanya mauaji ya kutisha zaidi kwa niaba ya Marekani, inazikalia kwa mabavu nchi za Kiislamu, na kukanyaga haki ya kujitawala kitaifa Lebanon, Syria na Yemen, rais wa Marekani anadai kiuongo kuwa eti Iran ndiyo tishio kwa usalama wa eneo, wakati ni Marekani ndiye tishio.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *