Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Kapteni Mstaafu George Mkuchika, bungeni jijini Dodoma, Mei 16, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
The post WAZIRI MKUU AKITETA JAMBO KAPTENI MSTAAFU MKUCHIKA BUNGENI DODOMA appeared first on Mzalendo.