
Nchini Chad, Waziri Mkuu wa zamani Succès Masra amekamatwa alfajiri ya Ijumaa, Mei 16, nyumbani kwake.
Imechapishwa:
Matangazo ya kibiashara
Nyumba ya Succès Masra, rais wa chama cha upinzani Les Transformateurs, iliyoko katika eneo la Gassi huko Ndjamena, imevamiwa siku ya Ijumaa, Mei 16, na makumi ya watu waliokuwa na silaha, wanajeshi wa vikosi vya ulinzi na usalama, ambao walimpeleka kusikojulikana, wafuasi wake wameiambia RFI. Wameongeza kuwa sababu ya kutekwa kwake haikufahamishwa kwa waliokuwepo eneo la tukio.
Taarifa zaidi zinakujia…