Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetilia mkazo masharti yake makuu kuhusu makubaliano ya kudumu ya kusimamisha vita na kuondoka kikamilifu wanajeshi vamizi wa Israel kwenye Ukanda wa Ghaza ikitangaza kuwa, Netanyahu amefeli katika njama zake za kufikia makubaliano bila ya kusitisha vita kikamilifu na kwamba mateka wa Kizayuni si muhimu kwa Netanyahu.
Related Posts
Maelefu waandamana Marekani kumpinga Trump
Maelfu ya watu waliingia mitaani kote Marekani siku ya Jumamosi kupinga hatua zilizochukuliwa hivi majuzi na Rais Donald Trump. Post…
Maelfu ya watu waliingia mitaani kote Marekani siku ya Jumamosi kupinga hatua zilizochukuliwa hivi majuzi na Rais Donald Trump. Post…
UN yataka kukomeshwa mapigano mara moja Sudan Kusini
Timu ya Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini UNMISS imetoa mwito wa kukomeshwa mara moja mapigano baada ya kushadidi vita…
Timu ya Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini UNMISS imetoa mwito wa kukomeshwa mara moja mapigano baada ya kushadidi vita…
China yajibu mapigo; yaongeza ushuru wa 84% kwa bidhaa za US
China imesisitiza kuwa “itapambana hadi mwisho” mkabala wa vita vya kibiashara vilivyoanzishwa na Rais wa Marekani, Donald Trump. Post Views:…
China imesisitiza kuwa “itapambana hadi mwisho” mkabala wa vita vya kibiashara vilivyoanzishwa na Rais wa Marekani, Donald Trump. Post Views:…