Uzinduzi wa chama kipya cha Gachagua wavurugwa na walioitwa “wahuni”, Kenya

Hafla ya uzinduzi wa chama kipya cha aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, cha Democracy for the Citizens Party (DCP) zimevurugwa mapema leo Alkhamisi baada ya kuingiliwa na watu waliotajwa na vyombo vya habari nchini humo kuwa ni “wahuni”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *