Araghchi: Matamshi ya Trump juu ya Iran huko Riyadh ni ya “udanganyifu”

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amepuuzilia mbali matamshi ya Rais wa Marekani, Donald Trump kuhusu ustawi na maendeleo ya Iran kuwa ya “udanganyifu” akiashiria vikwazo vya Washington dhidi ya nchi hii kwa zaidi ya miongo minne.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *