Mfalme wa Bahrain: Kufanikiwa mazungumzo ya Washington-Tehran ndio ufunguo wa utulivu

Mfalme wa Bahrain, Sheikh Hamad bin Isa Al-Khalifa amesema kuwa, mafanikio ya mazungumzo yanayoendelea kati ya Marekani na Iran yataongeza utulivu wa kikanda na kimataifa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *