Iran: Hakuna haja ya kuendelea na mazungumzo iwapo Marekani….

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Kazem Gharibabadi amesisitiza kuwa haki ya Jamhuri ya Kiislamu ya kurutubisha madini ya urani ni “mstari mwekundu” wa taifa hili, akisisitiza kuwa, kufikiwa makubaliano na Marekani kuhusu mpango wa amani wa nyuklia wa nchi hii kunategemea kufuata kanuni hizo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *