Qalibaf ataka ushirikiano wa vikwazo dhidi ya Israel na kuundwa nchi huru ya Palestina

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezitaka nchi za Kiislamu kuuwekea vikwazo vya kisiasa, kiuchumi na kijeshi utawala wa Kizayuni wa Israel ili kukomesha mauaji ya kimbari huko Gaza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *