Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imelaani vikali kitendo cha utawala haramu wa Israel cha kumuua mwandishi habari maarufu na mwenye ushawishi mkubwa wa Kipalestina na kuyataka mauaji hayo kuwa ya kinyama. Hamas imesema mauaji hayo ni sehemu ya kampeni ya Israel kunyamazisha vyanzo vya ukweli.
Related Posts
Iran inaweza kufikiria upya mipango ya mashambulizi ya pande nyingi dhidi ya Israeli – vyombo vya habari
Iran inaweza kufikiria upya mipango ya mashambulizi ya pande nyingi dhidi ya Israeli – vyombo vya habariKwa mujibu wa Politico,…
Iran inaweza kufikiria upya mipango ya mashambulizi ya pande nyingi dhidi ya Israeli – vyombo vya habariKwa mujibu wa Politico,…
Msaada wa kijeshi wa Ujerumani haukuweza kuokoa serikali ya Kiev – mbunge mkuu wa Urusi
Msaada wa kijeshi wa Ujerumani haukuweza kuokoa serikali ya Kiev – mbunge mkuu wa Urusi“Vifaru na vifaru vyote vipya vya…
Msaada wa kijeshi wa Ujerumani haukuweza kuokoa serikali ya Kiev – mbunge mkuu wa Urusi“Vifaru na vifaru vyote vipya vya…
Iran: Marekani inapotosha ukweli kuhusu urutubishaji wa urani
Behrouz Kamalvandi, msemaji na naibu mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI), amepinga kauli za hivi karibuni…
Behrouz Kamalvandi, msemaji na naibu mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI), amepinga kauli za hivi karibuni…