Waislamu Nigeria wawakumbuka Mashahidi wa Siku ya Quds

Taasisi ya ‘Wakfu wa Shuhada’ ya Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imewakumbuka na kuwaenzi mashahidi 27 waliouawa na vikosi vya jeshi la nchi hiyo wakati wa maandamano ya amani ya Siku ya Quds ya 2025 huko Abuja, na kusisitiza kujitolea kwao kwa kadhia ya Palestina.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *