Wazayuni wahamaki baada ya Trump kukiri Wayemen ni mashujaa

Menashe Amir, mkurugenzi wa Redio ya Kizayuni ya Kol Yisrael ameshindwa kuficha hamaki zake kufuatia uamuzi wa hivi karibuni ya Trump na kusema: “Waisraeli wameshtuka kwamba leo Wahouthi nchini Yemen wamekuwa mashujaa!”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *