Araqchi: Awamu ya nne wa mazungumzo na Marekani imekuwa makini zaidi kuliko nyingine

Baada ya kumalizika duru ya nne ya mazungumzo yasiyo ya ana kwa ana kati ya Iran na Marekani, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: “Mazungumzo hayo yalikuwa mazito zaidi, yenye umakini zaidi, yaliyo wazi zaidi na yanayoangalia mbele zaidi kuliko duru tatu zilizopita.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *