Alhamisi iliyopita, India iliishutumu Pakistan kwa kurusha wimbi la ndege zisizo na rubani na makombora katika kambi tatu za kijeshi katika eneo la India na eneo linalodhibitiwa na India la Kashmir, mashtaka ambayo Islamabad ilikanusha haraka
BBC News Swahili