Algeria yawafukuza majajusi 2 wa Ufaransa kwa kuingia nchini na pasi za bandia za kusafiria

Serikali ya Algeria imewafukuza maajenti wawili wa ujasusi wa Ufaransa kwa kuingia nchini humo kwa kutumia “pasi bandia za kidiplomasia ” ikiwa ni ishara mpya ya kuongezeka mvutano kati ya nchi mbili hizo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *