Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traoré, siku ya Jumamosi alisema anataka uhusiano wa nchi yake na Urusi ukue kwa kasi ya “kihistoria” na kupanuka katika maeneo mapya ya ushirikiano. Traore ametoa kauli hiyo wakati wa mkutano wake na Rais wa Russia, Vladimir Putin, mjini Moscow.
Related Posts
Familia za mateka Wazayuni: Njia pekee ya kuwarejesha mateka ni kuipindua serikali ya Netanyahu
Familia za mateka Wazayuni wanaoshikiliwa Ghaza zimesema, anachopigania waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni Benjamin Netanyahu ni kurefusha vita kwa…

Katibu Mkuu wa UN: Hali ya maafa katika Ukanda wote wa Ghaza imevuka kiwango cha kutasawirika
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amesema: “hali ya kibinadamu katika eneo lote la Ukanda wa Ghaza imetoka…

Ukraine ‘imekwenda’ – Trump
Ukraine ‘imekwenda’ – TrumpKukataa kwa Vladimir Zelensky kufanya makubaliano na Urusi kumegharimu nchi yake, rais wa zamani wa Amerika ametangaza.…