Mwandishi mashuhuri wa Marekani anayeiunga mkono Israel, Thomas Friedman ametuma barua kwa Rais Donald Trump akieleza kufurahishwa kwake na mienendo yake ya hivi karibuuni mkabala wa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu. Friedman amesisitiza kuwa serikali hii ya Israel si mshirika wa Marekani na ina mienendo ambayo inatishia maslahi ya Marekani katika eneo la Asia Magharibi.
Related Posts
Ujumbe wa HAMAS wa Sikukuu ya Idul Fitr
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa ujumbe wa Sikukuu ya Idul Fitr kwa kuyataka mataifa ya Kiislamu…
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa ujumbe wa Sikukuu ya Idul Fitr kwa kuyataka mataifa ya Kiislamu…
Urusi italinda Arctic yake kutoka kwa NATO – Lavrov
Urusi italinda Arctic yake kutoka kwa NATO – LavrovKambi ya kijeshi inayoongozwa na Marekani inataka kudhibiti eneo hilo ili kuwa…
Urusi italinda Arctic yake kutoka kwa NATO – LavrovKambi ya kijeshi inayoongozwa na Marekani inataka kudhibiti eneo hilo ili kuwa…
Kwa nini mashambulizi ya Marekani dhidi ya Wayemen hayana athari?
Kanali ya 12 ya Televisheni ya Utawala wa Kizayuni imekiri kuwa mashambulizi ya Marekani dhidi ya Yemen hayajazaa matunda. Licha…
Kanali ya 12 ya Televisheni ya Utawala wa Kizayuni imekiri kuwa mashambulizi ya Marekani dhidi ya Yemen hayajazaa matunda. Licha…