Ripoti kutoka Kenya zinasema, watu watano kati ya saba walioteuliwa na Rais William Ruto kusimamia Uchaguzi Mkuu ujao wana uhusiano wa moja kwa moja au usio wa moja kwa moja na kiongozi huyo pamoja na mshirika wake katika Serikali Jumuishi, Raila Odinga, hali ambayo imezua malalamiko kutoka kambi ya upinzani kwamba walioteuliwa hawatakuwa maamuzi huru.
Related Posts
Watu wasiojulikana waua watu 12 na kujeruhi 17 Sudan Kusini
Kundi la watu wasiojulikana wenye silaha wameua takriban watu 12 na kujeruhi wengine 17 huko Sudan Kusini mapema jana Jumapili.…
Kundi la watu wasiojulikana wenye silaha wameua takriban watu 12 na kujeruhi wengine 17 huko Sudan Kusini mapema jana Jumapili.…
Makundi yenye silaha Syria yaendelea kufanya uhalifu na kutupa miili kwenye mabonde
Vyanzo vya ndani vya Syria vimeripoti kuhusu kuendelea jinai zinazofanywa na makundi yenye silaha katika miji mbalimbali ya nchi hiyo…
Vyanzo vya ndani vya Syria vimeripoti kuhusu kuendelea jinai zinazofanywa na makundi yenye silaha katika miji mbalimbali ya nchi hiyo…
Araqchi asisitiza kuimarishwa ushirikiano kati ya Iran na Algeria katika majukwaa ya kimataifa
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi amesisitiza umuhimu wa kuimarishwa ushirikiano kati ya Iran na Algeria katika…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi amesisitiza umuhimu wa kuimarishwa ushirikiano kati ya Iran na Algeria katika…