Behrouz Kamalvandi, msemaji na naibu mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI), amepinga kauli za hivi karibuni zilizotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio kwamba ni nchi zenye silaha za nyuklia pekee zinazorutubisha madini ya urani yanayotumika kuzalisha umeme wa nyuklia.
Related Posts
Tel Aviv yakumbwa na mshtuko baada ya Trump kutangaza ushuru kwa bidhaa zote za Israel
Maafisa wa utawala ghasibu wa Israel wamepatwa na mshtuko baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kutangaza kutoza ushuru wa…
Maafisa wa utawala ghasibu wa Israel wamepatwa na mshtuko baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kutangaza kutoza ushuru wa…
Kiongozi Muadhamu atoa mkono wa pole kufuatia mripuko ‘mchungu’ kusini mwa Iran
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametoa salamu za rambirambi kwa familia zinazoomboleza wahanga wa mripuko…
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametoa salamu za rambirambi kwa familia zinazoomboleza wahanga wa mripuko…
Chuki dhidi ya Uislamu nchini Ufaransa: Chombo cha Mauaji
Mauaji ya kudungwa kisu Muislamu nchini Ufaransa ndani ya Msikiti Khadija katika kijiji kilichoko kusini mwa nchini humo yameibua maswali…
Mauaji ya kudungwa kisu Muislamu nchini Ufaransa ndani ya Msikiti Khadija katika kijiji kilichoko kusini mwa nchini humo yameibua maswali…