Ayatullah Khatami: Trump amejiongezea maadui kwa madai ya kubadilisha Ghuba ya Uajemi

Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema: “Kwa kudai kubadili jina la Ghuba ya Uajemi, Trump amewageuza Wairani wote wakiwemo wanamapinduzi, wasiokuwa wapinduzi, wapinzani na wasiokuwa wapinzani, kuwa maadui zake, jambo ambalo ni ishara ya upumbavu wake.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *