Bunge la Tanzania lapinga vikali maazimio ya bunge la Ulaya

Bunge la Ulaya limetoa maazimio 6 kwa ajili ya Serikali ya Tanzania, ikiwemo kuachiwa huru kwa Kiongozi wa upinzani nchini humo Tundu Lissu, anayeshikiliwa kwa uhaini

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *