Jolani: Hay’at Tahrir al-Sham inafanya mazungumzo na Israel

Mkuu wa utawala wa Hay’at Tahrir al-Sham (HTS) unaoongoza nchini Syria amethibitisha habari ya kuwepo mazungumzo “yasiyo ya moja kwa moja” kati ya utawala huo na utawala wa Israel eti kwa lengo la kuzuia kile alichokiita mripuko usioweza kudhibitiwa wa hali ya mambo, wakati huu ambapo Tel Aviv inaendeleza uchokozi wa kijeshi usiokoma dhidi ya Syria.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *